Kenyans Live

Taharuki yatanda eneo la Tumaini Pipeline kaunti ya Nairobi uvamizi na uharibifu wa mali

Description (show more)

Hali ya taharuki imetanda katika mtaa wa tumaini eneo la pipeline hapa jijini nairobi baada ya watu waliojihami kuvamia mtaa huo na kuharibu mali ikiwemo ua la mtaa huo.

Share: