Kenyans Live

Mgomo wa maafisa wa afya umeingia siku ya 88

Description (show more)

Muungano wa Wataalamu wa Afya ya Mazingira na Afya ya Umma nchini umeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgomo wa maafisa wa afya ya umma, ambao umeingia siku ya 88 leo.

Share: