Kenyans Live

Mahakama yakataa ombi la Omtatah kuhusu kituo cha Bomas

Description (show more)

Mahakama imetupilia mbali ombi la Seneta Okiya Omtatah la kutaka shughuli za kujumlisha kura za urais zifanyike nje ya Bomas of Kenya. Mahakama imesema uthibitishaji wa kitaifa wa matokeo ni halali, huku shughuli za kujumlisha kura za urais zikiendelea kufanyika Bomas.

Share: