Kenyans Live

Washukiwa wanne wazuiliwa kwa siku 15 katika uchunguzi wa mauaji ya Kyalo Mbobu

Description (show more)

Washukiwa wanne, akiwemo maafisa wawili wa polisi wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wakili Kyalo Mbobu, watasalia seli kwa siku 15 ili kuwaruhusu polisi kukamilisha uchunguzi. Maafisa Julius Cheruiyot na Kennedy Kipkemei wanadaiwa kuwa wahusika wakuu katika mauaji hayo.

Share: