Kenyans Live

Mtunzi wa kanisa auawa kwa njia tatanishi Kakamega

Description (show more)

MAUAJI TATA MAABADINI Polisi katika eneo bunge la Navakholo, kaunti ya Kakamega wanachunguza mauaji ya mtunzi wa kanisa mwenye umri wa miaka-78, ambaye alipatikana akiwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha.  Familia yake inashuku kitendo hicho cha unyama kinahusishwa na mgogoro wa kumiliki ardhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: