Kenyans Live

Jopo la Makau Mutua laiomba msamaha familia ya Rex Masai

Description (show more)

MAKOVU YA MAANDAMANO Jopo la Makau Mutua laiomba msamaha familia ya Rex Masai Jopo hilo linashughulikia fidia kwa waathiriwa wa maandamano Masai alikuwa Mkenya wa kwanza kuuawa kwenye maandamano ya 2024 Serikali inatumia shilingi bilioni 1.4 kuwafidia waathiriwa elfu-1 Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: