Majambazi wauwa watu watatu kaunti ya Isiolo na kuwaiba mifugo zaidi ya 200
78 viewsYouTube
Description (show more)
Hali ya wasiwasi imetanda katika eneo la Burat, kaunti ya Isiolo, kutokana na shambulizi la majambazi ambapo watu watatu, akiwemo mvulana wa umri wa miaka saba waliuawa, huku mifugo zaidi ya 200 wakiibwa. Wakazi wa vijiji vya Loruko na Ngarendare wametoa wito kwa serikali kuchukua hatua za haraka kuwatafuta watoto 3 waliopotea, kurejesha mifugo walioibwa na kuzuia mashambulizi ya kulipiza kisasi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 793 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 931 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 2.3K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 7.6K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 668 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 957 views
