Trans Nzoia yaimarisha uwezo wa maafisa wa kilimo kuongeza uzalishaji wa mahindi
Description (show more)
Idara ya Kilimo katika Kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha mpango wa kuwaelimisha na kuwajengea uwezo maafisa wa nyanjani kuhusu mbinu mbalimbali za kuboresha uzalishaji wa mazao, hususan mahindi. Kaunti ya Trans Nzoia inatajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu yanayochangia pakubwa uzalishaji wa mahindi nchini na hivyo kuwa na jukumu muhimu katika kuimarisha usalama wa chakula nchini.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
4:11
2:14
3:23MBADI: Sirkal osehero Luo | #RamogiTV
· 7 views
2:2368-year-old Enock Chelimo taken by armed, masked men in night raid
· 4 views
3:00Judiciary and police differ over handling of gang suspects
· 11 views
1:15Rising Stars Warejea Nyumbani Baada ya Kumaliza Nafasi ya 26 Kombe la Dunia
· 8 views
2:26Rising Lionesses Yafuzu Fainali Dakar, Sasa Yalenga Dhahabu Dhidi ya Australia
· 19 views
2:41IG Kanja appears in court over missing activist Mwaipaya denying police involvement in abductions
· 17 views
