Kenyans Live

Wakazi wa Kimugandura kaunti ya Laikipia waapa kutohama katika ardhi yenye mzozo

Description (show more)

Wakazi wa eneo la Kimugandura wadi ya Segera Laikipia kaskazini wameapa kutoondoka kwenye ardhi ya kimugandura la ekari elfu 14 ambalo limekuwa na mzozo wa umiliki kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Share: