Kenyans Live

Kanisa la ABC lafukuza maafisa sita na wanakwaya wa tawi la Makadara kwa utovu wa nidhamu

Description (show more)

Kanisa la African Brotherhood (ABC) limewafukuza maafisa wakuu 6 na wanakwaya wote wa tawi la kanisa hilo la makadara hapa nairobi kwa sababu ya utovu wa nidhamu na kwenda kinyume na uongozi na mafundisho ya kanisa.

Share: