Kenyans Live

Polisi wa Kericho waanzisha kampeni ya kuelimisha wakazi kuhusu usalama barabarani

Description (show more)

Maafisa wa polisi mjini Kericho wameanza operesheni ya kuelimisha wakazi kuhusu usalama barabarani baada ya ajali nyingi kutokea nchini.

Share: