Mawakili wa washtakiwa kwenye kesi ya mauaji ya Dkt Victoria Mutiso wajiondoa
Description (show more)
Kesi ya mauaji ya daktari wa magonjwa ya akili Dkt. Victoria Nthunya Mutiso ilichukua mkondo wa kushangaza katika Mahakama Kuu ya Milimani jijini Nairobi, baada ya mawakili kadhaa wa utetezi wakiongozwa na Cliff Ombeta kuomba kujiondoa katika kumwakilisha mwanasiasa Rose Mbithe Mulwa na watoto wake wawili, Chris na Angela. Hatua hiyo isiyotarajiwa ilifuatiwa na hatua nyingine ya watuhumiwa hao ambao walikana mashtaka dhidi yao kudai kuteswa na kudhulumiwa walipokuwa kizuizini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
