Kenyans Live

Nauli za matatu kupanda kwa asilimia 10 baada ya bei ya mafuta kuongezeka

Description (show more)

Wakenya sasa watalazimika kulipa gharama ya juu ya nauli baada ya wahudumu na wamiliki wa matatu kusema bei zitapanda kwa asilimia 10. Uamuzi huu ukifuatia tangazo la hapo jana la Halmashauri ya Kudhibiti Bei za Petroli, ambapo petroli ilipanda kwa shilingi 12, dizeli kwa shilingi 9 na mafuta taa kwa shilingi 28.

Share: