Wagonjwa wapokea matibabu ya macho bila malipo Garissa
73 viewsYouTube
Description (show more)
Washirika wamaendeleo na mashirika ya utoaji msaada wa kibinadamu wamehimizwa kuongeza usaidizi wa matibabu ya macho kwa waathiriwa wa changamoto hizo katika kaunti ya Garissa. Wito huo ulitolewa wakati wa huduma za uchunguzi, upasuaji na matibabu bila malipo zilizotolewa kwa wagonjwa kwenye hospitali ya Garissa Level 5 kwa hisani ya mashirika ya utoaji misaada na benki moja ya humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
· 1 views
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
· 3 views
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
· 3 views
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
· 4 views
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
· 42 views
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
2:22Mitihani ya KCSE 2026 yaanza rasmi leo
· 5 views
