Kenyans Live

Wakazi wa magharibi Kenya watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya ebola

Description (show more)

Wakazi wa maeneo ya Magharibi mwa Kenya, hasa wanaoishi karibu na mpaka wa Kenya na Uganda, wamehimizwa kuendelea kuwa waangalifu na kuzingatia hatua za kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Ebola.

Share: