Kenyans Live

Wafugaji Nandi na Uasin Gishu wahimizwa kutumia teknolojia kuongeza chakula cha mifugo

Description (show more)

Bodi ya Maziwa nchini, imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wafugaji wa ng’ombe wa maziwa katika kaunti za Nandi na Uasin Gishu, jinsi ya kuongeza lishe ya mifugo.

Share: