Kenyans Live

Washukiwa watatu wakamatwa wakisafirisha ng’ombe usiku eneo la Belgut kaunti ya Kericho

Description (show more)

Maafisa wa polisi katika eneo la Belgut, kaunti ya Kericho, wamewakamata washukiwa watatu waliokuwa wakisafirisha ng’ombe watatu katika barabara ya Taplotin kwa gari dogo usiku.

Share: