Mkulima wa Yatta ageuza kilimo cha mipapai kuwa biashara yenye faida
Description (show more)
Katika eneo la Yatta, Kaunti ya Machakos, ambako ukame mara nyingi hufanya kilimo kuwa na changamoto, mkulima mmoja anaonyesha kuwa kilimo cha matunda kinaweza kuwa biashara nzuri. Katika shamba lake la ekari tatu, mipapai inastawi na kumpatia chanzo cha mapato. Denis Otieno anatueleza mengi kwenye Kilimo Biashara wiki hii.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:32
1:32Gĩkundi gĩa Sauti Yangu gũtetia wongerereku wa ũnyamarania wa atumia na arume Nanyuki
· 4 views
2:04CS Ogamba: KCSE examination security system makes photographing papers impossible
· 13 views
10:57Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029
· 28 views
1:29KTDA KŨGĨA NA MŨIKARĨRI GĨTĨ MWERŨ
· 5 views
2:11Bwawa kubwa kujengwa kupanua mradi wa umwagiliaji wa Galana-Kulalu
· 12 views
3:49Silvester Orego: Omenda mag 'empowerment' ing'ado e bengi; chalo rao ma ing'ado gi lee
· 2 views
2:18Waziri wa madini Hassan Joho aonya dhidi ya siasa za chuki na uchochezi kuelekea uchaguzi wa 2027
· 32 views
