Kenyans Live

Mradi wa maji Mwea-Makima wapunguza magonjwa yanayotokana na maji

Description (show more)

Mradi wa maji wa Mwea-Makima umeelezwa kuwa umechangia kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maji. Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amezindua mradi huo unaolenga kuboresha upatikanaji wa maji kwa wakazi wa eneo hilo.

Share: