Kenyans Live

Wanasiasa watahadharishwa dhidi ya kuingilia mradi wa kiwanda cha Dangote

Description (show more)

Wanachama wa chama cha makuli wanawatahadharisha wanasiasa kutojiingiza kwenye ujenzi uliopendekezwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi cha Dangote huko Lamu wakionya kuwa kufanya hivyo kutachelewesha mradi huo na kuathiri ajira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: