Kenyans Live

Vijana wahimizwa kujiepusha na uhuni na ghasia za kisiasa

Description (show more)

Askofu mkuu wa kanisa la Kianglikana humu nchini, Jackson Ole Sapit, amewatahadharisha vijana dhidi ya kujiingiza kwenye uhuni na ghasia za kisiasa akisema maovu haya huenda yakatumbukiza Kenya kwenye lindi la machafuko kabla ya uchaguzi mkuu mwakani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: