Kenyans Live

Rais William Ruto anaongoza hafla ya uzinduzi rasmi wa eneo la kumbukumbu la hayati Raila Odinga

Description (show more)

Rais William Ruto anaongoza hafla ya uzinduzi rasmi wa eneo la kumbukumbu la hayati Raila Odinga katika shamba la Kang'o Ka Jaramogi huko Bondo kaunti ya Siaya. Jengo hilo lipo mkabala na alipozikwa Jaramogi Oginga Odinga, na lina muundo maalum wenye pembe 5, zinazowiana na kundi la pentagon ambalo Raila alibuni katika mojawapo ya vuguvugu lake la kisiasa.

Share: