Kaunti ya Kisumu yashirikiana na Alliance Française kuhamasisha vijana kuhusu ajira katika utalii
Description (show more)
Kaunti ya Kisumu imeshirikiana na taasisi ya Alliance Française kuwahamasisha vijana wa kaunti hiyo kuhusu fursa za ajira katika sekta ya utalii na nyanja zingine husika ili kujitegemea, kuambatana na wiki ya utalii mwaka huuinayolenga matumizi ya majukwaa ya dijitalina teknolojia ya Akili Ige-AI kuimarisha utalii. Wakati uo huo, serikali ya kaunti ya Mandera imeanza kukadiria uharibifu uliosababishwa na moto uliozuka kwenye soko la Mandera na kuteketeza biashara kadhaa. Michael Mwandigha ana mkusanyiko wa habari kutoka magatuzini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
2:34University ya Embu gwĩkĩrĩra gũkũria kĩgĩna gĩa gũteithia arutwo arĩa matehotete
2:59