Kenyans Live

Katibu mkuu wa UDA Hassan Omar ajitetea kuhusu matamshi ya wafu kupiga kura

Description (show more)

Katibu mkuu wa chama cha UDA Hassan Omar amejitetea mbele ya kamati ya IEBC kuhusu nidhamu kuhusu matamshi yake kwamba wafu watapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Omar ameiambia kamati hiyo kuwa alizungumza kwa mafumbo kama njia ya kuwashawishi wakazi wa pwani kujisajili kwa wingi kuwa wapigakura.

Share: