Kenyans Live

Serikali yafungua tena chuo cha kilimo na teknolojia cha Wafula Wabuge baada ya miaka 10

Description (show more)

Baada ya kufungwa kwa muda wa miaka kumi , serikali kuu imefungua tena chuo kikuu cha mafunzo ya kilimo na teknolojia cha jomo kenyatta bewa la wafula wabuge huko likuyani .

Share: