Kenyans Live

IEBC yachapisha majina ya watu tisa wanaowania nafasi ya afisa mkuu

Description (show more)

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) imechapisha majina ya watu tisa watakaopigwa msasa kuwania nafasi ya afisa mkuu wa tume hiyo. Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa IEBC, Erastus Ethekon, imesema mahojiano hayo yatafanyika tarehe 12 na 13 Novemba mwaka huu.

Share: