Kenyans Live

Mkenya atuzwa kwa kuboresha mafunzo ya matibabu

Description (show more)

Mkurugenzi wa chuo cha mafunzo ya afya, sayansi na teknolojia chaTricentDennis Okech, ametambuliwa kwa mchango wake katika elimu ya afya na uwezeshaji vijana. Okech ambaye pia ni rais wachama cha wenye vyuo vya kibinafsi vya matibabu alipokezwa tuzo hiyo wakati wa hafla ya tuzo za washindi barani Afrika ambapo alipongezwa kwa uongozi wake na juhudi za kubuni nafasi za uwezeshaji vijana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: