Mashine za michezo ya kamari zanaswa na kuharibiwa Igembe
12 viewsYouTube
Description (show more)
Maafisa wa usalama katika kaunti ndogo ya Igembe Kaskazini wameimarisha msako wa mashine haramu za michezo ya kamari kabla ya kuanza kwa likizo ndefu ya mwezi Disemba. Wakati wa operesheni iliyoongozwa na naibu kamishna wa kaunti, Martin Muhia, mashine haramu 22 zilinaswa kutoka vituo vitano mjini Laare na kisha zikaharibiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
· 1 views
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
· 3 views
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
· 3 views
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
· 4 views
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
· 42 views
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
2:22Mitihani ya KCSE 2026 yaanza rasmi leo
· 5 views
