Katibu Omollo asifu mbinu ya serikali ya maendeleo ya kitaifa
Description (show more)
Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Raymond Omollo amesifu mbinu ya serikali ya utekelezaji maendeleo ya kitaifa, akisema rasilimali na huduma za umma zinapaswa kuwafikia Wakenya wote bila ubaguzi wa misingi ya kieneo, jamii au miegemeo ya kisiasa. Akizungumza wakati wa mchango wa kuchangisha fedha za maendeleo ya kanisa huko Narok Mashariki, Omollo alisema Rais William Ruto ameweka kiwango kipya cha uongozi kupitia kile alichokitaja kuwa mbinu jumuishi ya maendeleo ya kitaifa isiyo na ubaguzi. Wakati uo huo, katibu mkuu wa chama cha UDA Hassan Omar ametoa wito kwa viongozi wa mashinani huko Mombasa kuongeza juhudi za kuwaelimisha wananchi kuhusu uchaguzi, usajili wa wapigaji kura na kutafuta uungwaji mkono kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:12ARUTANI a JS Makĩria ma 300 gũthama KNUT gũthiĩ KUPPET Kĩambu
1:58
1:48
4:14
1:3029,125 candidates in Vihiga sit this year’s KCSE examination
1:54KEMI and EIDU partner to equip teachers with digital skills
2:15Homa Bay: KCSE candidate dies hours after sitting first two papers
1:16