Mgomo wa wahadhiri waingia siku ya nne, wanafunzi walalamikia kupoteza muda
Description (show more)
Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini umeingia siku ya nne leo, huku masomo yakiendelea kutatizika katika vyuo vingi vya umma. Baadhi ya wanafunzi sasa wanalalamikia kupoteza muda kutokana na kusitishwa kwa shughuli za masomo, hasa wale wanaojiandaa kwa mitihani ya mwisho. Wanafunzi hao wanasema kuchelewa kwa masomo kunaweza kuathiri maandalizi yao ya mitihani na ratiba ya masomo kwa ujumla. Boniface Barasa anaangazia kilio cha wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Moi katika taarifa ifuatayo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
