Kenyans Live

Harambee Starlets kuanza kampeni ya kufuzu Olimpiki dhidi ya Ushelisheli

Description (show more)

Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake, Harambee Starlets, itamenyana na Ushelisheli kesho katika raundi ya kwanza ya mechi za kufuzu kwa Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2028. Ingawa ni mechi ya ugenini kwa Kenya, Ushelisheli imewakaribisha Wakenya katika Uwanja wa Michezo wa Ulinzi jijini Nairobi.

Share: