Kenyans Live

Siku ya upatikanaji habari kwa wote yaadhimishwa

Description (show more)

Taasisi za umma zimetakiwa kuwasiliana kwa wakati, kwa usahihi na kutoa taarifa za kuaminika huku nchi hii ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2027, ili kuzuia habari potofu na  za uongo. Wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya upatikanaji habari kwa wote, wadau wa mashirika ya habari na taasisi za utawala walionya kuwa taarifa za kuaminika zinapokosekana au kucheleweshwa, ombwe linaloibuka hujazwa haraka na uvumi pamoja na uongo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: