Kenyans Live

EACC yazuilia mali ya Felix Nyakundi ya shilingi milioni 426.8

Description (show more)

Aliyekuwa Msajili wa ardhi katika kaunti ya Kilifi, Mkewe  na kampuni zinazohusiana na familia yake wameagizwa kusalimisha mali ya thamani ya zaidi ya shillingi millioni 426 kwa serikali.Tume ya kukabiliana na ufisadi na maadili imesema mahakama kuu ilipata kwamba Felix  Mecha  Nyakundi na washirika wake walishindwa kueleza walikopata mali hiyo ikilinganishwa na mapato yao halali. Mali hiyo ni pamoja na ile iliyo jijini Nairobi, Mombasa na Kilifi, magari na pesa zilizohifadhiwa kwenye akaunti za benki na za M-pesa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: