Kanisa la Kianglikana lawasha moto kuhusu hali ya uchumi Kenya
Description (show more)
Kanisa la Kianglikana limeibua wasiwasi kuhusu kile linasema ni hali mbaya nchini, inayosababisha gharama ya juu ya maisha kwa Wakenya. Askofu Mkuu Jackson Ole Sapit amesema Kenya inapoteza mwelekeo chini ya uongozi wa Rais William Ruto. Viongozi wa kanisa hilo pia wametaja kuenea kwa ufisadi, kukithiri kwa makundi ya wahuni, ukosefu wa ajira na ushuru wa juu kama baadhi ya sababu kuu zinazochangia serikali kujitenga na wananchi wake.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:36Mũndũrũme gũkuĩra kĩrabu-inĩ Ruiru
· 1 views
1:13Kalonzo: Uhuru ni kare, loch mar Raila ne okwal 2022
4:07Homabay: Familia seyo jakom jolupo bang' wuodgi negi e nam kendo ringre luti e nam
· 1 views
2:50Itemi rĩa gũtirĩrĩra thothaitĩ-Nyandarua
· 5 views
2:44Athuri a kĩama kĩa ma macakaĩte wongerereku wa ũteti bũrũri-inĩ
· 6 views
2:40Atongoria a ODM kũruta mahĩtĩa mĩario ya Uhuru
· 9 views
2:08Onjoria a Embu gũtetia ũhagũku wa ũgitĩri
· 4 views
38:11Je, Ali Mbogo, mgombea wa ugavana wa Mombasa, ataepuka mawimbi yanayoiyumbisha Linda Mwananchi?
· 68 views
