Kenyans Live

Ukosefu wa uhamasishaji waathiri upatikanaji wa vitambulisho Nambale kaunti ya Busia

Description (show more)

Ukosefu wa uhamsisho, muda mrefu wa kurejeshwa kwa vitambulisho na umbali wa vituo vya kujiandikisha zinatajwa kuwa baadhi ya sababu za idadi kubwa ya wakazi wa eneo bunge la nambale kaunti ya busia kukosa vitambulisho vya kitaifa.

Share: