Kenyans Live

Wauguzi wa ICU wataka vitengo vya huduma mahututi viwe na vifaa vya kisasa

Description (show more)

Wauguzi wa huduma mahututi nchini Kenya wameitaka serikali kuhakikisha kuwa vitengo vya huduma mahututi kote nchini vina vifaa vya kutosha na vya kisasa, ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Share: