Kenyans Live

Kina mama wajawazito wakabiliwa na hatari ya kuvuja damu wakijifungua katika kaunti ya Homa bay

Description (show more)

Suala la wanawake kuvuja damu nyingi wakati wa kujifungua na kupoteza maisha bado ni changamoto, hasa kwa kina mama wanaoishi maeneo ya vijijini. James Latano anaangazia masaibu na changamoto zinazowakabili kina mama wajawazito katika Kaunti ya Homa Bay.

Share: