Kenyans Live

Ruto awashambulia Sifuna na Natembeya wakati wa ziara ya Bonde la Ufa

Description (show more)

Rais william ruto aliendelea na ziara yake ya bonde la ufa ambako aliwashambulia wanasiasa wa upinzani akiwalaumu kwa kukosa ajenda kwa wakenya. Rais aliyekuwa kaunti ya nandi jana alionekana kuendeleza makali yake kwa seneta wa nairobi edwin sifuna na hata gavana wa trans nzoia george natembeya.

Share: