Kenyans Live

Watu waliowekwa karantini kuhusiana na ugonjwa wa Ebola wataruhusiwa kuondoka

Description (show more)

Watu waliowekwa karantini kuhusisna na ugonjwa wa Ebola baada ya kutangamana na mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa huo wataruhusiwa kuondoka baada ya kukamilisha kipindi cha siku 21 za karantini na kuthibitishwa kwamba hawana virusi hivyo. Haya yanajiri huku wizara ya afya ikitangaza kwamba mtu mwingine mmoja ambaye ni mwanamke wa umri wa miaka 65 jamaa wa mgonjwa wa Ebola aliyeaga dunia pia aliaga dunia kutokana na ugonjwa huo Ijumaa usiku na hivyo kufikisha viwili jumla ya idadi ya vifo vinavyohusiana na ugonjwa huo vilivyoripotiwa humu nchini. Mwanahabari wetu Nancy Okware anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: