Kenyans Live

Chuo Kikuu cha Nairobi chapendekeza kupigwa marufuku kwa rangi zenye risasi

Description (show more)

Idara ya Kemia ya Chuo Kikuu cha Nairobi imewasilisha mapendekezo ya sera kwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Mazingira yenye lengo la kuzuia matumizi ya rangi zenye madini ya risasi katika bidhaa za kila siku, ikiwa ni pamoja na vyombo vya kupikia, vipodozi na kauri.

Share: