Kesi kuhusu kifo cha Jeff Mwathi, aliyefariki 2023 baada ya kuanguka kutoka jengo, yaendelea
Description (show more)
Kesi kuhusu kifo cha Jeff Mwathi iliendelea leo katika mahakama ya Milimani ambapo afisa wa uchunguzi wa ushahidi alikuwa kizimbani na ushahidi wake kudadisiwa na upande mwengine. Mkuu wa polisi Francis Kieti anayedaiwa kujukumiwa kuendeleza uchunguzi wa ushahidi katika eneo la tukio wiki tatu baada ya kifo cha Jeff Mwathi, aliiambia mahakama kwamba huenda marehemu alitoka kupitia dirisha la orofa ya 10 ya jengo ambako mwili wake ulipatikana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
4:50Juja quintuplets leave questions behind
3:35
2:38
6:10Quickfire questions with Mustafa || Dr Ofweneke Tonight
· 1 views
3:40Didmus Barasa Denies JKUAT Degree Claims, Says Allegations Are Politically Motivated
· 68 views
3:02Matatu driver linked to fatal Enterprise Road crash denied bail over dangerous driving charges
· 17 views
3:019 Killed in Separate Road Accidents in Machakos and Kisii Counties
· 57 views
3:00Protests erupt in Isiolo over insecurity after 5 killed in suspected bandit attack in Gotu
· 12 views
