Stephen Ekirapa alizikwa nyumbani kwake Busia
144 viewsYouTube
Description (show more)
Aliyekuwa OCPD wa Fafi Stephen Ekirapa, aliyeuawa kwenye shambulizi linaloshukiwa kuwa la kigaidi katika kaunti ya Garissa alizikwa mwishoni mwa wiki hii nyumbani kwake Kamarinyang kaunti ya Busia.Ekirapa aliaga dunia tarehe 9 mwezi huu pamoja na dereva wake akiwa kazini baada ya gari lake kukanyaga kilipuzi kilichokuwa kimetegwa kwenye barabara ya Sorethi Daadab huko Fafi, kaunti ya Garissa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 792 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 928 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 1.1K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 4.2K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 194 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 434 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 603 views
