Kenyans Live

Wagonjwa wa saratani Kisumu waitaka serikali kuongeza ufadhili wa matibabu

Description (show more)

Wagonjwa wa saratani kutoka kaunti ya Kisumu wameishinikiza serikali kuongeza kiwango cha fedha za matibabu ya ungonjwa huo ili kuwapunguzia gharama.Wakizungumza jijini Kisumu Jumamosi, wakazi hao walisema kuwa maibabu ya radiotherapy yanagharimu shilingi elfu tatu mia sita kwa kila kipindi na kufanya gharama ya matibabu ya saratani kuwa kubwa zaidi.

Share: