Kenyans Live

Waathiriwa wa saratani Taita Taveta waitaka serikali kufadhili kaunti kukabiliana na ugonjwa huo

Description (show more)

Waathiriwa wa ugonjwa wa saratani na familia zao kaunti ya Taita Taveta wameitaka serikali kuu kuhakikisha serikali za kaunti zinapata ufadhili wa kutosha wa kukabiliana na ugonjwa huo.

Share: