Rais asema serikali haina nia ya kuondoa ushuru wa barabara
Description (show more)
Rais William Ruto amesema hakuna mpango wowote wa kuondoa ada maalum ya utunzaji wa barabara licha ya shinikizo zinazoongezeka kufuatia ongezeko la hivi punde la bei za mafuta. Kiongozi wa taifa alitetea ada hiyo akisema ni chanzo kikuu cha ufadhili wa miundo msingi ya barabara, na ni muhimu pia katika juhudi zake za kuhakikisha ugavi sawa wa maendeleo katika sehemu zote nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:56
LIVE: Sakaja Joins ODM
· 478 views
2:21Catherine Omanyo Amtaka Kalonzo Kuondoka Upinzani na Kujiunga na Serikali
· 11 views
2:11Seneta Miraj Abdillahi Apinga Pendekezo la UDA na ODM Kugawana Madaraka 50:50
· 16 views
2:35Sakaja ditches UDA, joins ODM in a bid to retain his seat
· 169 views
2:20KCSE 2026: Usalama Waongezwa Turkana na Pokot Magharibi, Watahiniwa 7,000 Washiriki
· 4 views
1:55KCSE 2026: Watahiniwa 14,394 Waanza Mitihani Katika Kaunti ya Kajiado
· 9 views
20:03| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 3]
· 26 views
