Familia yaomba shilingi milioni 12 ili kurudia upandikizaji wa uboho kwa mwanao
Description (show more)
Familia moja katika eneo la Syokimau, kaunti ya Machakos inawaomba wakenya kuwasaidia kuchangisha shilingi milioni 12, kwa ajili ya matibabu ya upandikizaji wa pili wa uboho kwa jamaa yao nchini India. Rose Ngina, mwenye umri wa miaka 36 ambaye ni mama ya mtoto mmoja alipatikana na saratani ya damu mwezi Julai mwaka jana. Licha ya kufanyiwa upandikizaji huo mwaka jana, madaktari waligundua kuwa saratani yake ya damu ilikuwa imerejea miezi miwili iliyopita. Familia yake inasema haiwezi tena kumudu gharama kubwa za kimatibabu zinazohitajika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:40:33Citizen TV Live:
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
1:33