Kenyans Live

Kenya kupambana na Tanzania katika mkondo wakufuzu kwa kombe la mataifa bora ya afrika.

Description (show more)

Timu ya taifa ya kandanda ya chini ya miaka 23 , emerging stars, itamenyana na tanzania leo kuanzia saa tisa alasiri katika mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya mechi za kufuzu kwa kombe la mataifa bora ya afrika.

Share: