Kenyans Live

Wakazi wa Morop Hill kauti ya Baringo wapinga mradi wa madhabahu ya hija wa shilingi milioni 50

Description (show more)

Wakazi wa Morop Hill, katika Wadi ya Ewalel Chapchap kaunti ya Baringo, wamepinga mradi unaopendekezwa wa ujenzi wa madhabahu ya hija kwa gharama ya shilingi milioni 50.

Share: