Kenyans Live

Polisi wadaiwa kuwapiga risasi mifugo Samburu

Description (show more)

Malalamiko yameibuka kuhusu operesheni ya usalama katika eneo la Losesia, Samburu, ambapo viongozi wanadai mamia ya mifugo waliuawa. Seneta wa Samburu Lelegwe Ltumbesi ameitaka serikali kuchunguza operesheni hiyo na kubaini waliohusika.

Share: