Kenyans Live

Wanachama wa ODM kaunti ya Migori wataka uchaguzi mpya wa chama ngazi za chini

Description (show more)

Wanachama wa ODM katika Kaunti ya Migori wanatoa wito kwa uchaguzi mpya wa ngazi za chini baada ya Mahakama kubatilisha uchaguzi wa kamati ya uratibu wa chama hicho wa kaunti kwa madai ya ukiukaji wa Sheria.

Share: